1. KUONGEA NA KUKAA MUDA MWINGI NA WEWE
kama msichana anakupenda hatoichezea nafasi ya kukuona kukaa na kuongea na wewe. Siku zote atatafuta nafasi ya kuongea au kukuona. Unapoongea naye anakuwa makini kukusikiliza na hufurahi kila unachokiongea hata kama hakifurahisha.

2. ATAKUPA MAWASILIANO YAKE
hawezi kukunyima namba ya simu kwa mara ya kwanza hata kama ni siku ya kwanza mmeonana.
3. ATAKUTAMBULISHA KWA NDUGU NA RAFIKI ZAKE
hajali wengine wakimtazama wanapomuona yu na wewe. Atakutambulisha kwao bila kujali chochote.
4. Wivu
anajisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Unachart nao ukiwaita majina ya kimahaba
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena