JE,UNA TATIZO LA KUFIKA KILELENI MAPEM?.
Hili ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi hivi sasa,zifuatazo ni sababu na jinsi ya kutatua tatizo hilo.
1: PUNGUZA WASIWASI NA HARAKA YA KUPATA RAHA NA UTAMU.
Wanaume
wengine wanakuwa na wasiwasi kuwa wataperfom vizuri au vibaya kiasi
gani,wengine wanakuwa na wasiwasi kuwa watapata raha kiasi gani na
wengine ambao washajijua kuwa huwa wanafika kileleni mapema,wanakuwa na
wasiwasi kuwa watafika kileleni mapema tena.
Tatizo
hili mara nyingi linawasumbua wanaume ambao hawana mazoea ya kupeana
raha na utamu mara kwa mara,au wanaume ambao ndio kwanza wameanza mambo
ya kupeana raha na utamu,kwa sababu wanapata raha ya ziada tofauti na
wanaume ambao wana do mara kwa mara ingawa pia kuna wazoefu ambao
wanasumbuliwa na hili tatizo.
JINSI YA KUFANYA.
Punguza
uoga,wasiwasi na haraka.Kama uoga,wasiwasi na haraka vinasababishwa na
kutopeana raha na utamu mara kwa mara,basi jaribu kupeana raha na utamu
mara kwa mara mpaka akili yako izoee kitendo cha kupeana raha na utamu
na mashine yako izoee joto la Uke.
ila kama wewe ni mzoefu na
unasumbuliwa na tatizo hili la wasiwasi,basi unatakiwa umwone
mwanasaikolojia au Daktari kwa sababu nina uhakika watu hao watakushauri
vizuri.
Pia jaribu kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara kwa
kuwa yanapunguza uoga na wasiwasi na yanaongeza kujiamini na pia
yanaongeza stamina itakayokusaidia usicum mapema.
2: ACHA KUJICHUA..
Wanaume wengi washawahi kujichua baada ya kubalehe,wengine wanaacha kujichua wakishapata wasichana au wakianza kuwa watu wazima.
Lakini wapo wanaume wengine kujichua kwao imekuwa kama ulevi wa pombe au madawa ya kulevya.
Wanazidisha
kiwango cha kufanya kwa siku na kuacha hawawezi hata kama wanapenda
kuacha.Na kadri wanavyozidi kujichua,ndio misuli ya mashine zao inazidi
kulegea na ndio hapo sasa wanakuja kupata tatizo la kufika kileleni
mapema wakati wa kupeana raha na utamu.
JINSI YA KUFANYA.
Kama
unajichua zaidi ya mara moja kwa siku au haiwezi kupita siku bila
kujichua na unasumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema,basi ujue
kujichua ndio tatizo lako unatakiwa uache mara moja,kama hujui jinsi ya
kuacha basi zifuate hatua zifatazo:-
*Usikae peke yako kabisa ili kuepuka kupata hamu ya kujichua bila sababu.
*Usikae karibu na vitu vitakavyokupa tamaa ya kujichua mfano,picha za ngono.
*Tafuta kitu kingine cha kufanya kitakachokuchangamsha mfano,kucheza mpira n.k
*Fanya mazoezi kwa kuwa yanasaidia kuondoa mawazo ya ngono na kujichua.
*Punguza idadi ya kujichua kwa siku kidogo kidogo mpaka uache kabisa.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena