Header Ads Widget

Responsive Advertisement

KURIDHISHANA KATIKA MAPENZI



Image result for elimu ya mapenzi
Kuna tatizo kubwa sana kuridhishana katika mapenzi. Tatizo hililinawaathiri akina mama zaidi.Nilipenda kuchangia na ninyi kaelimu kadogo kanakoweza kumfanya mtuakafurahia mapenzi na kuridhika inavyohitajika. Maandalizi ya siku hizi yanaanzia nyuma kidogo kuliko zamani.Mnahitajika wote wawili muwe mmepima afya zenu. Hili nawaachia ninyi maana najua lenyewe tu ni topic.
Sasa tuanzie kwenye makubaliano.Watu wawili mnaoshiriki tendo la ndoa muwe mmekubaliana vizuri nawote mmejiandaa kiasaikolojia. Kwa waliooana, ni vema siku hiyo nzima, kuanzia asubuhi muwe mna mawasiliano mazuri na yenye kushiria mapenzi (romantic). Hamuwezi kugombana, halafu hapo hapo ukamlazimisha mwenzako unyumba kwa madai kwamba biblia imesema"msinyimane."
Mazingira yaandaliwe vizuri. Sehemu yenyewe iwe ni salama na isiyona mwingiliano mwingi. Nina maana ifuatayo:
1.       Iwe sehemu tulivu na safi.
(a)      Isiwe na kelele kelele.
(b)     Isiwe chafu, na harufu za ajabu ajabu.
(c)      Iwe ni sehemu yenye nafasi ya kutosha na yenye kupitisha hewasafi kiurahisi.
(d)     Iwe sehemu huru na hakuna hofu yoyote ya fumanizi wala ugomvi.Isiwe sehemu ambayo mtagongewa mara kwa mara. Simu (cell) zizimwe kwa muda kama inawezekana.
(e)      Muhakikishe kuwa mna muda wa kutosha na sio kuwa mbio mbio.
2.       Ninyi wahusika wenyewe mjiandae:
(a)      Miili yenu (ikiwa ni pamoja na mavazi) iwe safi na isiyo naharufu wala jasho. Matumizi ya pafyumu, pale inapowezekana, ni bora zaidi hapa.
(b)     Piga mswaki kabla ya kukutana na mwenzako. Akina dada wengi sana ni hodari kwa kujali nywele zao na nyuso zao, lakini hawajui kabisa kwamba midomo yao saa nyingine hukaa muda mrefu bila kula, kunywa,kuongea wala kupigwa mswaki na hivyo kuwa na harufu. Kwa maana hiyo utawakuta wanatembea na pafyumu, mafuta, wanja, n.k lakini sio rahisi kuwakuta na miswaki.
(c)      Muwe huru na msiwe na wasi wasi wala hofu yoyote.
(d)     Kila mtu apanie kumridhisha mwenzake vema.
(e)      Jaribu kusahau, japo kwa muda matatizo ya mwenzako.
3.       Tendo lenyewe:Kama nilivyogusia hapo mwanzo kuwa muwe na muda wa kutosha. Hivyo maandalizi yawe marefu na ya kutosha. Maandali yanaanzia kwenye maongezi yanayohusu mapenzi na kuridhishana. Kisha yaingie hatua yakutomasana na kugusana sehemu nyeti kwa kiwango cha kutosha.Mwanamke upunguze aibu za kitoto hapa, lakini pia usionyeshe kwamba wewe ndio bingwa wa wote.
Sehemu nyeti:
Wanawake wengi hupata hisia sana wanapoguswa kwenye sehemu za uke(sehemu ya juu ya ndani ya **ma [clitoris]), chuchu za matiti namapajani.Wanaume wengi wanapata hisi wakiguswa kwenye uume (korodani nadhakari) , miguuni (unyayoni), masikioni, na kwenye matako. Kwa wengine (wote wanawake na wanaume) wanapendelea sana kunyonywa sehemu zao za siri.
Muwe na muda wa maandalizi haya mpaka mwanamke atoe ishara ya karibu. Ishara kadha zitajitokeza kwenye mwili wa mwanamke kuashiria kuwatayari, nazo ni:
(a)      Kuvimba clitoris, nadhani ndio kinembe kwa kiswahili.
(b)     Kuvimba chuchu.
(c)      Mwili kouta vipele vikubwa vikubwa vya muda.
(d)     Macho kulegea sana.
(e)      Kasi mapigo ya moyo kuongezeka.Na wengine huanza kukuvuta wakikuelekeza kuingia, au husema kabisa kwamba njoo.
Huu ni wakati muafaka wa kuingia. Na kwa sababu wanaume kuingia pekee, kunaweza kuleta hisia kiasi ambacho mwanaume anaweza **maliza haja zake, hasa kama ni mara ya kwanza kukutana na mwanamke huyo, na kwa sababu pia kuingia kunaweza kuleta maumivu kwa mwanamke, ni vema uingie kwa utaratibu na polepole. Ingia mpaka utakasikia kuwa ni kiwango cha kutosha na pia humuumizi mwenzako. Endelea kufanya mapenzi kwa mapigo mbali mbali huku ukimwangaliamwenzako. Fanya kwa mfululizo na kwa utaratibu mapaka kufikia kilele.
Kwa sababu wanawake wengi ni wagumu katika hatua hii, ni vema mwanaumme awe na muda wa kutosha katika hili, huku akijitahidi kumsubiri mwenzake. Mwanamke pia asidanganye kuwa tayari wakati bado. Namna ya kujizuia kutokojoa haraka mwanamume ni kubadili mapigo mara kwa mara. Na kuwa mwepesi wa kutulia unapojisikia dalili. Wengine hudai kuwa ukimeza fundo la mate husaidia kukata msukumo wa shahawa. Unapomaliza tulia huku mkiwa bado katika hali ya tendo. Mpongeze mwenzako na mpe pole kwa majambo mazito na mazuri. Pata muda wa kupumzika na kuwa wasafi kabla ya mzunguko kurudia tena na tena na tena mpaka asubuhi/usiku.
4.       Mambo ya kujiepusha nayo (the don'ts)
(a)      Wakati wa hatua za awali usiwe na "hang-over" ya mpenzi wako wazamani, jinsi mlivyokuwa mna-enjoy, alivyo mzuri, alivyosoma, alivyo na pesa n.k. Hata wewe usianze kujisifu kwa sifa nyingi. Ongelea mapenzi yenu ya hapo na msifu mwenzako. Hata kama sio mzuri kiwango cha kusifiwa, tafuta jambo moja angalau ambalo anastahili sifa. Hatatu mikono yake ilivyo.
(b)     Usilete maongezi tofauti wakati tendo linaendela.kwa mfano: usimkumbushe mwenzako tatizo fulani.usimkumbushe deni lenu, na wala usimuulize kwamba akudhibitishie kama kweli anakupenda. Sio wakati wake. Mpaka umevua nguo na sasa yuko ndani yako, unapaswa kujua kama anakupenda au la. Kumuuliza akiwa juu, ni kumwambia kuwa "najua hunipendi, lakini unaonaje basi ukinidanganya kidogo sasa hivi".
(c)      Usije ukataja jina la mtu mwingine wakati uko na mwingine.
(d)     Pia usimalize tendo la ndoa tu na kuendelea na shughuli zingine kama kusoma kitabu/gazeti, kuangalia tv, au kuchukua simu na kupiga kwa watu wengine, n.k

Post a Comment

0 Comments