Header Ads Widget

Responsive Advertisement

CCM Serengeti wamtaka Lowassa Kutangaza Ni.

Mbunge wa Monduli mkoani Arusha na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyae Lowasa akiagana na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Serengeti, Patrick Chandi Marwa  na Mwenyekiti wa CCM Serengeti Vicent Nyamasagi (kushoto kwa Lowasa) na ujumbe mzima uliomtembelea ukifurahia baada ya kumtembelea Mwanasiasa huyo nyumbani kwake Monduli na kumtaka atangaze nia ya kugombea urais kupitia chama hicho.

Post a Comment

0 Comments