Header Ads Widget

Responsive Advertisement

#FAHAMU | BARAKAH DA PRINCE AFANIKIWA KUMILIKI ACCOUNT KATIKA MTANDAO WA #VEVO

94
Muziki wa Bongo Fleva unasogea hatua kubwa kila siku, mbali na kutumia TV za Kimataifa kuutangaza muziki mitandao imekuwa ikitumiwa pia kwa asilimia kubwa kuutangaza muziki.
Kuna list ya mastaa waliopata account za VEVO ambazo ni kubwa kwenye kutangaza video za muziki mitandaoni, Baraka Da Prince nae kaingia rasmi kwenye list hiyo, amesema amefurahi kupata akaunti hiyo ambayo itafanya video ya wimbo wake wa Siachani nawe’ ufike mbali zaidi.
255 ilimtafuta Diamond Platinumz ambaye amesema ameshindwa kuwa na account ya VEVO kutokana na wao kumtaka afute account yake ya Youtube aanze upya kwa kutumia akaunti nyingine jambo ambalo hakukubaliana nalo.

Post a Comment

0 Comments