Msafara wa Waziri wa sheria na katiba Harrison Mwakyembe umepata ajali eneo la Bwanga wilayani hapa (Chato) mkoani Geita.
Msafara wa Waziri wa sheria na katiba Harrison Mwakyembe umepata ajali eneo la Bwanga wilayani hapa (Chato) mkoani Geita.
Kwamba gari la mwendesha mashtaka nchini Biswalo Mganga liliacha njia na kupinduka wakati dereva alipokuwa anajaribu kuwakwepa watoto waliokuwa wanavuka barabarani. Hakuna kifo wala majeruhi.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena