| MWENYEKITI WA DIVISHEN MASHARIKI MWA KATI MWA AFRIKA KANISA LA WASABATO BLASIOUS RUGULI AKIPANDA MTI KATIKA KANISA YA WAADVENTISTA WASABATO KANISA LA SABASABAMJINI TARIME |
| BAADA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA KANISA LA WASABATO SABASABA MJINI TARIME |
| AKIMWAGILIZIA MAJI MTI BAADA YA KUPANDA KWA AJILI YA KUMBUKUMBU. |
| WA KWANZA KULIA NI DIWANI WA KATA YA NKENDE DANIEL KOMOTE NA WA PILI KUTOKA KUSHOTO NI MWENYEKITI WACCM RORYA SAMWEL KIBOYE WAKIWA KATIKA IBADA KWENYE KANISA LA WASABATO SABASABA. |
| WAUMINI NA WANAKWAYA |
| MWENYEKITI WA DIVISHEN MASHARIKI MWA KATI MWA AFRIKA KANISA LA WASABATO BLASIOUS RUGULI AKITOA NENO LA BWANA KATIKA KANISA LA SABASABA. |
ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KATIIKA ZIARA YA MWENYEKITI WA DIVISHENI MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKA KANISA LA WA ADVENTISTA WASABATO
| MWENYEKITI WA DIVISHENI MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKA KANISA LA WA ADVENTISTA WASABATO BLASIOUS RUGURI AKITOA NENO LA BWANA KATIKA KANISA LA TARIME MJINI LA WASABATO |
| MWENYEKITI WA DIVISHENI MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKA KANISA LA WA ADVENTISTA WASABATO BLASIOUS RUGURIAKIONGEA NA WAUMINI WA KANISA LA WASABATO SABASABA MJINI TARIME |

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena