Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania,TCU imetangaza udahili wa pili wa waombaji wanaotarajia kujiunga na masomo ya shahada za awali ulimalizika tarehe 10 Oktoba. Hivyo Tume itafungua maombi ya awamu ya 3 kuanzia 18 hadi tarehe 22 Oktoba mwaka huu na sio 18 hadi 18 ya awali.
Soma taarifa kamili:

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena