Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Picha | Mazishi ya Mbunge wa Songea marehemu Leonidas Gama

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiongoza Mawaziri, Wabunge pamoja na viongozi mbali mbali wa serikali katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama katika tukio lililofanyika jana katika Mtaa wa Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.

Viongozi mbali mbali waliofika kuuaga mwili wa aliekuwa Mbunge wa Songea Mjini Mhe. Leonidas Tutubert Gama katika tukio lililofanyika leo katika makaburi ya Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.

Mke wa marehemu, Ndg. Esther Gama akiweka shada ya maua katika kaburi la mume wake, aliyekuwa Mbunge wa Songea Mjini Mhe. Leonidas Tutubert Gama, tukio lililofanyika jana makaburi ya Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.

Watoto wa marehemu wakiweka shada ya maua kufuatia kifo cha Baba yao, aliyekuwa Mbunge wa Songea Mjini Mhe. Leonidas Tutubert Gama, tukio lililofanyika jana katika makaburi ya Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiweka shada ya maua katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama aliezikwa janakatika makaburi ya Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.

Post a Comment

0 Comments