Karibu sana mpenzi msomaji wa Blog hii maalum kwa ajili ya kukujuza mambo mengi muhimu kwa maisha yako. Leo nakuletea vyakula maalum kwa ajili ya kuboresha hamu ya tendo la ndoa kwa wanandoa. PILIPILI Kama tunavyojua wote mara
nyingi chakulaambacho kimeungwa pilipili hufanya hatamapigo ya moyo
kuwa tofauti na wakatimwingine hata jasho kutoka au kamasikutoka.
Kwenye
pilipili kuna kitu kinaitwacapsaicin ambacho hufanya pilipili iwe
nahali ya ukali ambao huwezesha ubongokutoa homoni ya endorphins
ambayokatika hali ya juu huleta mgusu wa hisiaza raha.
Pia pilipili
husisimua mfumo waufahamu (nerves) wa ubongo na katikakufanya hivyo
huwezesha kumshwa harakakimapenzi (kunyegeka) na pia ili ukiguswaau
kubusiwa au kunyonywa au kupapaswauweze kupata hisia kila sehemu.
NAFAKA Nafaka zina nyuzinyuzi (fibre) na sukari ngumu(complex sugar)
ambazo kusaidia kutunzauzito wa mwili.
Nafaka husaidia katikakuzalisha homoni za testosterone kwenyedamu.
Na
pia nafaka huwezesha mtukuwana nguvu hatimaye kwenda masafa marefuwakati
wa tendo.
Kula nafaka nzima kamavile brown bread badala ya white bread,pia kula nafaka halisi badala ya cornflakesni jambo zuri linalokuhakikisha afya
njemana mahusiano mazuri ya ndoa yako.
MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI.
Mlo wenye matunda na mboga za majaniuna matokeo makubwa sana katika
hamuya tendo la ndoa kwa njia nyingi.
Kwanza matunda na mboga za majani
hupunguzakiwango cha mafuta na unene (cholesterol),kuongezeka kwa mafuta
mwilini huzuiamzunguko wa damu kwa kubana mishipaya damu.
Pia kula
matunda na mboga zamajani huhakikisha balance ya uzito kwaniunene
(obesity) kwa wanaume kunamatokeo mabaya katika kuzalisha homeniza
testoeterone na hatimaye jogookushindwa kuwika na kuwa na libidokidogo.
Na pia wanandoa wanapozidikunenepeana ndipo na hali ya kufurahiaau
kutaka au hamu ya tendo la ndoa huzidikupungua.
TANGAWIZI
Tangawizi ni chakula ambacho husisimuasana mfumo wa mzunguko wa
damumwilini, na tangawizi zinajulikana sanakwa kusukuma damu kwenda
sehemu zaviungo vya uzazi yaani uke na uume.Inaweza kuliwa mbichi, au
kupikwa aukuanikwa na kuwa kama unga.
ASALI Asali ina madini yanayoitwa
boron, ambayohusaidia mwili kutumia homoni yaestrogen ambayo ni homoni
inayohusika naviungo ya uzazi na mapenzi kwamwanamke.
Pia kuna utafiti
unaooneshakwamba asali huongeza nguvu, kitendoambacho kitapelekea
mwanamke kuwauwezo na hamu ya tendo la ndoa au libido.
KARANGA
Karangahuhusika moja kwa moja na kutunzamfumo wa mzunguko wa damu kuwanaafya (vascular system).
Pia mfumo wenyeafya (mzunguko wa damu) katika ukenauume huwezesha
mwanaume namwanamke kupata msisimko wa mapenziharaka hatimaye tendo la
ndoa kuwazuri.
Pia karanga zina madini muhimu kamavile magnesium, asidi
ya folic na zincambayo ni muhimu sana katika usalishajiwa mbegu za
mwanaume.
OYSTERS Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini yazinc na haya
madini ndiyo huhusika zaidina uzalishaji wa homoni ya testosteronekwa
wanaume.
Pia imethibitika kwambawanaume wenye ukosefu wa madini ya
zinchuwa na matatizo ya nguvu za kiumenawakati huohuo kuwa na madini
mengi yazinc mwilini huongeza kiwango chashahawa.
SOYAPamoja na kuwa na
kiwango kidogo sanacha fat na pia kuwa na kiwango kizurichaprotein, soya
zina phytoestrogens ambayohusaidia sana wanawake ambao
wamefikiamenopause kutengeneza homoni estrogenya ziada.
Husaidia uke
kuwa laini (wet,lubricated) mwanamke akisisimliwa wakatiwa tendo la
ndoa.CHOCOLATE
Chocolate
ina phenylethylamine, kemikaliambayo husababisha hisia (feelings)
zafuraha wakati wa mwanamke aumwanaume kufika kileleni (orgasm
)
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena