Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Gossips | "P UNIT Haijavunjia" Frasha

punit_img_new
Siku ya January 23 nilikutana na taarifa kutoka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kenya kwamba kudi la wakali wa P Unit limegawanyika ili kutoa nafasi kwa kila member wa kundi hilo kufanya mambo yake binafsi, leo member mmoja wa kundi hilo ametoa taarifa mpya.
Frasha amesema kuwa si kweli kwamba kundi hilo limevunjika, yeye ametangaza kufanya project zake binafsi, ikiwemo ‘I am Frasha’ ambayo ameshirikiana na mastaa Erick Wainaina, Kidum na Stella Mwangi na uzinduzi wake ulikuwa siku ya Ijumaa January 23.
.
Gabu, Frasha na Bon-Eye washkaji wanaounda kundi la P Unit.
Huenda Frasha alinukuliwa vibaya kuhusu kundi la P Unit, jamaa anasema alichokisema ni kwamba huu ni mwanzo wa project zake binafsi nje ya kundi ikiwemo kufanya deal za kutengeza video na kutengeneza matangazo, tofauti na ambavyo story zilienea kwamba kundi hilo limevunjika.
This is basically a brand that will be pushing my personal business away from P-Unit. It’s just my individual line where I will be doing a lot of stuff among them artiste management, advertising, video production and media contenting. I want to clarify that P-Unit is not breaking up. We are still going to remain relevant as a group. We have lots of shows already lined up and we are not yet stopping for nothing. We are here to stay…”—Frasha.

Post a Comment

0 Comments