Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Selfie yasababisha Kifo India.

selfieee 
Upigaji wa picha kwa njia ya Selfie umeendelea kuwa gumzo dunia nzima na kufanya ongezeko kubwa la matumizi ya simu za smartphone.
Wanachuo watatu huko New Delhi, India Yakub, Afzal na Iqbal wamefariki wakiwa wameweka pozi mbele ya treni kwenye reli.
sef 
Polisi walisema mmoja wa wanafunzi hao ambaye alinusurika kwenye ajali hiyo amesema walikuwa wakisafiri kwa gari kwenda kwenye mji wa Agra, wakasimama eneo hilo ili kupiga selfie wakati treni hiyo ikiwa karibu kisha kushare na marafiki zao mitandaoni.

Post a Comment

0 Comments