Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Simu yenye Ulinzi kwa ajili ya begi lako

Sasa huna haja tena ya kuwa na wasiwasi ya kuibiwa kutikana na technology mpya maalum kwa ajili ya ulinzi wa begi lako.
Kuna ile tabia ya wizi wa mabegi ambao hutokea mtu akiwa safarini, zile za mtu kufungua begi lisilo lake, zote hizo dawa yake ni hii teknolojia ya eGeeTouch.
Smart Luggage Lock inafanya kazi kwa kutumia App inayowekwa kwenye smartphone au gadget, ili kufungua utakachokifanya ni kuswipe simu yako juu ya lock hiyo.
Kampuni iliyotengeneza kifaa hicho imesema imeamua kutengeneza kifaa hicho badala ya kufuli kwa kuwa kufuli inaonekana kama matumizi yake ni mtindo wa kizamani kwa wasafiri na pia hii huongeza  usalama zaidi.Microsoft Word - eGeeTouch_CES Unveiled New York_Immediate Release v2
Mtumiaji anayetumia lock hiyo lazima akumbuke alivyoswipe na iwe siri yake pia kama ilivyo kwa matumizi ya password, lock ina battery ambayo inakaa na chaji mpaka miaka mitatu, pia unaweza kuichaji kwa kutumia waya wa USB.
Unadhani hii kwa Bongo inaweza kusaidia? Cheki pichaz na Video halafu nitafurahi kama ukiniandikia chochote.
246F0C2F00000578-2898591-image-m-9_1420539337397 (1)
Hii ndio lock yenyewe ya eGeeTouch.
246F0C2700000578-2898591-image-a-7_1420539300164

Locker IV
Locker

Post a Comment

0 Comments