Header Ads Widget

Responsive Advertisement

"Wiz Khalifa alinyanyapaliwa na Familia Yangu" : Amber Rose


10731799_882550378442454_952282545_n
Msanii Amber Rose amefunguka katika Documentary yake ya Light Girl kuwa baadhi ya Ndugu zake hawakuhudhuria harusi yake na Mchumba wake Wiz Khalifa kwa kuwa aliolewa na mtu mweusi.
Amber Rose ana asili ya Creole Ureno na Italia alielezea kuwa baaadhi ya ndugu bado wanawatenga watu wenye rangi nyeusi na wao hudhani ngozi nyeupe ni bora zaidi

Post a Comment

0 Comments