Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Hivi ndivyo uzinduzi wa video #Vuvula na #Kaunyaka Escape 1 Dar es Salaam Ulivyofanyika.

.
.
Usiku wa Feb7, Madee, Chege na Temba wamezindua video mpya za single zao ziitwazo Vuvula & Kaunyaka ,video hizo mbili zimeongozwa na Adam Juma.Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ufukwe wa Bahari ya hindi Escape 1 Dar es Salaam.
Wasanii waliotoa burudani ya nguvu kwenye uzinduzi huo akiwemo Barnaba, Vanessa Mdee, Julio, Shaa, Dogo Janja, Raymond kutoka Tip Top Connection, na wengineo.
.
Chege na Mh. Temba.
.
Chege.
.
Yamoto Band.
.
.
.
.
.
Dogo Asley.
.
Vanessa Mdee.
.
.
.
Barnaba na Vanessa Mdee.
.
Jux.
.
Shaa.
.
Julio.
.
Dj Tass kutoka Magic FM.
.
Dj K U kutoka Times FM.
.
Dj Romy Jons.
.
Professor Jay.
.
Madee.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Post a Comment

0 Comments