Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Nimejipanga kufanya Vizuri zaidi | Barakah Da Prince

924617_524148741058385_2125651995_n Baada ya kutamba na single kadhaa kama vile "JICHUNGE, "SIO FINE" sasa tena kaja na "SIACHANI NAWE" Mkali wa Afro Pop toka pande za Rock Town, hapa namzungumzia Prince Baraka ameetoa kauli ambayo itakua ni onyo kwa wapinzani wake kwa kuwaambia kwamba amejipanga vizuri zaidi kumaintain uwezo wake katika tasnia ya Muziki Tanzania.
Baraka aliyasema hayo wakati akihojiwa na Bongo5.com katika usiku wa miaka 10 ya THT Pale Escape one.
Keep it up Baraka.

Post a Comment

0 Comments