Wakazi wa Kigoma Kaskazini leo walikusanyika pamoja kumsikiliza Mbunge wao Zitto Kabwe ambaye siku ya leo ameamua kuitumia rasmi kama kuwaaga wananchi na wapiga kura wa jimbo lake.
Zitto Kabwe ambaye ijumaa ya wiki hii kupitia mtandao wa kijamii kwenye akaunti yake ya Twitter ali break news kwamba hatogombea tena Ubunge kwenye uchaguzi ujao wa mwishoni mwa mwaka huu.
Baada ya hotuba yake kumalizika,asilimia kubwa ya wananchi walijitokeza kumsikiliza hawajamuunga mkono kwa uamuzi huo na kuumizwa na kauli hiyo ya Mbunge wao Zitto Kabwe ya kuwa hatogombea tena ubunge,hizi ni baadhi ya picha mtu wangu.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena