Header Ads Widget

Responsive Advertisement

ARTICLE | Documentary ya Air Force One a.k.a "The Flying White House"

Photo Credits: Pilotman.net
The Air Force One ni ndege ambayo pia inajulikana kama Ikulu ya angani.
Wengi wanaijua kwa kuiona. Lakini unajua mchakato mzima kabla ya ziara ya Rais yeyote?
Unajua nani ni nani kwenye ndege na nini huusika?
Tazama filamu hii fupi kujua mengi usiyofahamu kuhusu ndege hii


Post a Comment

0 Comments