Kuna zile picha tu ukiziona za zamani kama ni zako zinakufanya ufikirie mengi, inaweza kuwa hata za watu wengine pia ambapo inabidi upime mwenyewe, kuna watu sura zao hazijabadilika sana na wengine zimebadilika….. jionee kwenye hii list hapa chini.
Kila wiki millardayo.com itakua inakuletea pichaz za zamani za mastaa mtu wangu ambapo kwa leo, hii picha ya kwanza hapa chini ni ya mwigizaji Kajala akiwa shule ya sekondari Jitegemee Dar es salaam time hizo.
Ni kitambo lakini sio sana hapa ni wakati mwimbaji wa bongofleva Meninah alivyoshiriki kwenye shindano la Bongo star search
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena