
#
TBT ndio story yenyewe leo kwenye kurasa za watu @
Instagram, nikaona nikutafutie na mimi PICHAZ za zamani za baadhi ya watu maarufu nikusogezee mtu wa nguvu!!

Hayati Mzee Nelson Mandela na mama Winnie enzi hizo.

Barack Obama na Michelle wake.. Zamani kabisa hapo kabla hata ya safari ya White House.

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe

Hayati J.K Nyerere na Mzee Mkapa

Rais Kikwete na Mbunge Edward Lowassa

Abdulrahman Kinana na Rais JK

Hayati J. Nyerere
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena