uchumi wa nchi lazima uanzie kaya kwa kaya ndio upande ngazi ya kitongoji,ngazi ya kijiji,ngazi ya kata,ngazi ya tarafa.ngazi ya wilaya,ngazi ya mkoa na kumalizia ngazi ya taifa.
mwananchi wa rorya hana zao la biashara linalompa kipato zaidi ya kulima mazao ya chakula cha kujikimu!
kwanza kila kaya ndani ya rorya iwe na chanzo cha mapato muda wote wa siku 365.hapo ndio tutavuka hatua nyingine ya maendeleo,kwa hali ya sasa hakuna miujiza.
rorya yetu itabaki hivyo hivyo miaka 50 mingine.uchumi wa nchi lazima uanzie kaya kwa kaya ndio upande ngazi ya kitongoji,ngazi ya kijiji,ngazi ya kata,ngazi ya tarafa.ngazi ya wilaya,ngazi ya mkoa na kumalizia ngazi ya taifa.

rorya yetu itabaki hivyo hivyo miaka 50 mingine.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena