Header Ads Widget

Responsive Advertisement

UFUGAJI | UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA (BROILER) 100 KATIKA ENEO LA MITA MBILI (2).

Karibu katika makala hii ya Ufugaji.
Leo tutazungumzia ufugaji wa kuku katika eneo dogo na ufahamn jinsi ya kupata faida kubwa
Huu ni ufugaji wenye tija na katika eneo dogo.

*Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili(2) na Upana wa mita moja(1).
*Kinakachofanyika katika hilo eneo ni ujenzi wa ghorofa/shelves tano(5) kwenda juu kwa ajili ya kufugia kuku.

*Urefu unaoshauriwa wa kila shelf/chumba kimoja ni futi moja na nusu hadi mbili.
*Katika kilachumba/shelf unashauriwa kuweka kuku ishirini, kwa maana ya kuku 10 katika eneo la mita 1.
*Ukichukua idadi ya kuku katika kila chumba (20) mara idadi ya vyumba 5, watapatikana kuku mia(100) katika eneo la mita 2.

*Kumbuka kuwa unaweza kufanya mabadiliko mengine kulingana na eneo utakaloweka ghorofa la kuku.

Post a Comment

0 Comments