Jalada la kesi ya mauaji yanayodaiwa kufanywa mwaka 2009 na matajiri wanne wa Mwanza ambao ni ndugu wa familia moja, limepelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) jijini Dar ss Salaam kwa ajili ya hatua za kisheria.
Hata hivyo, tangu jalada hilo lipelekwe kwa DPP Januari 20, bado ofisi hiyo haijatoa mwongozo wa kisheria endapo kesi hiyo sasa ifunguliwe rasmi katika mahakama ya makimu mkazi mjini Moshi.
Soma zaidi:http://
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena