ulafi na utovu wa kiasi vipo penye msingi wa anguko kuu la upotovu wa maadili ktk ulimwengu wetu.
Shetani analifahamu hili daima huwajaribu wanaume na wanawake waendekeze ladha ya kionjo kwa gharama ya afya na hata uhai wenyewe. Kula, kunywa, na kuvaa yamefanywa kuwa lengo la maisha kwa ulimwengu. Hali ya mambo imekuwa sawa na ile iliyokuwako kabla ya Gharika. Na hali hii ya ubadhilifu ni moja ya ushahidi bayana wa ukaribu wa kufungwa kwa historia ya dunia hii. - Letter 34, 1875.

Picha ambayo uvuvio umeionyesha ya ulimwengu uliokuwako kabla ya gharika huwakilisha kwa usahihi mno hali ambayo ulimwengu wa sasa unaharakisha kuiendea. - PP 102 (1890).
Tunajua kwamba Bwana anakuja mapema sana. Ulimwengu unaharakisha kuwa kama ulivyokuwa ktk siku za Nuhu.
Umejikita kwenye kuendekeza ubinafsi. Kula na kunywa hufanywa kupita kiasi. Watu wanakunywa vileo vyenye sumu ambavyo huwafanya kuwa wehu. - Letter 308, (1907).

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena