Uingereza imefanikiwa kufanya upasuaji na kumpandikiza mgonjwa mikono ya mtu mwingine. Oparesheni hiyo imefanyika katika hospitali kuu ya Leeds ambako mgonjwa mwenyewe amesema amefurahia kurudishiwa viungo hivyo muhimu mwilini.

“Unajua unapopandikiza viungo vya ndani ya mwili kama figo, cha muhimu ni bora ifanye kazi, hamna anayejali eti inafanana vipi lakini kwa kiungo cha mwili cha nje ni tofauti,” anasema Prof Kay.
“Kwa hivyo mara nyingine kunaweza kutokea athari za kisaikolojia. Pia ni jambo ambalo halijazoeleka hata kwa watu wanaotoa viungo vya wapendwa wao waliofariki ‘amefafanua Prof Kay.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena