Habari mpendwa?
Umewahi kufikiria kuishi gerezan katika kipindi fulani cha maisha yako? Yawezekana jibu lako likawa hapana.......Lakini hutokea pale unapotereza na kuingia katika mtego unaopelekea wewe kuingia GEREZANI...Utafikiria mengi hata kukata tamaa ya kuishi maisha ya KIKRISTO,....Mungu yu nawe muda wote na hawezi kukuacha kamwe..
Hebu fikiria wapendwa hawa wanapoimba na kusifu kwa furaha bila kujali kwamba wao ni wafungwa. Nikualike sasa utazame wimbo huu mtamu masikioni ujifunze jambo leo unapojiandaa kumkaribishA MGENI SABATO.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena