Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Msanii Wetu | Yuko Wapi Best Nasso?

Best Nasso

Best-Nasso

Kuna msanii mwenye kipaji cha hali ya juu lakini hana bahati, hapa namaanisha kuwa nyimbo zake hazichezwi sana redioni wala kwenye luninga, Lakini ukiangalia nyimbo zake zina ujumbe mzuri.

‘Narudi Kijijini’ ni ngoma ambayo ilifanya poa sana na kumfanya msanii Best Naso awe gumzo sehemu mbalimbali hapa nchini, licha ya hayo sijui kwanini huwezi msikia kwenye tuzo wala show mbalimbali,  sijui shida iko wapi, hana management au yeye mwenyewe hajawahi kuuchukulia muziki serious, kuna kikwazo vina vyomkwamisha au kunani chini ya kapeti?Ni fursa kwa wadau wa muziki kumtumia Best Naso kwani ni msanii mwenye kipaji ambaye akipata usimamizi mzuri anaweza kurudi kwenye game kama ilivyokuwa kwa Chidbeenz, Q Chief na Dogo Janja ambao wanafanya vyema kwasasa.

Post a Comment

0 Comments