Header Ads Widget

Responsive Advertisement

News Alert | ABoud Jumbe Afariki dunia


Taarifa ambazo mtandao huu umezipata ni kuwa Rais Mstaafu wa zanzibar wa awamu ya pili Mzee ABOUD JUMBE MWINYI amefariki dunia mchana huu nyumbani kwake Kigamboni.Taarifa zaidi za msiba huo zitakujia Hivi Punde.
Unaweza kutizama historia yake kidogo
Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa rais wa pili wa Zanzibar toka mwaka 1972 hadi 1984 alipojiuzulu.
Aboud Jumbe alizaliwa mwaka 1920 huko kisiwani Zanzibar ( Tanzania ).

Alitanguliwa na
Abeid Amani Karume
Makamu wa Rais wa Tanzania
1972-1984
Akafuatiwa na
Ali Hassan Mwinyi
Mwinyi Aboud Jumbe (born 14 June 1920) was a politician in Zanzibar. He held several positions, including the second president of Zanzib

ar, chairman of the Revolutionary Council, Vice-President of the Union, and the vice-chairman of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party.

Jumbe served as president of Zanzibar from 11 April 1972 until 30 January 1984. He succeeded Abeid Karume as president, following Karume's assassination on April 7, 1972. He was initially elected by the Revolutionary Council as a part of the Afro-Shirazi Party (ASP). While he was in office, in 1977, the two ruling parties of Tanzania merged. In particular, the ASP and the Tanganyika African National Union (TANU), merged to create Tanzania's ruling party, the CCM.

In 1979, Jumbe introduced the first post-revolution constitution of Zanzibar. This separated the powers of theRevolutionary Council and the House of Representatives. Furthermore, the new constitution established elections byuniversal suffrage, instead of being elected by the Revolutionary Council.

Post a Comment

0 Comments