FAHAMU | Fanya haya mambo 15 uwe na furaha muda wote
1. Tabasam bila kukoma
2. panga safari kwenda kutembea
3. Furahia muda na wale uwapendao
4. Pata chakula na rafiki yako
5. Sinzia hata kama huwezi kufumba macho ^_^
6. Fikiria zaidi kile utakacho zaidi ya kile ulichokosa
7. Pumzika na fanya kile upendacho
8. Jinyooshe ukiwa umekaa
9. Tembea nje kuzunguka nyumba
10. Wakubali watu jinsi walivyo
11. Sahau vile vilivyokuumiza
12. Sikiliza wimbo uupendao
13. Imba kw asauti pale unaposikiliza wimbo upendao
15. tenga muda w akua na watoto au wanyama
Ok!!! We are done. Now close this tab and do some of these things!
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena