Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Breaking News | Bondia Thomas Mashali auawa

Image result for Thomas Mashali
Taarifa iliyoifikia asubuhi hii, inaeleza kuwa Bondia Thomas Mashali amekutwa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo na mwili wake kukutwa maeneo ya Tabata, Jijini Dar es salaam. akithibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamasumbwi huyo, Bondia Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) amesema Mashali amefikwa na umauti huo usiku wa kumkia leo kwa kudaiwa kupigwa mpaka kuuawa na watu wasiojulikana kwa tuhuma za wizi.

Post a Comment

0 Comments