Header Ads Widget

Responsive Advertisement

HATIMAYE MMOJA WA WAASISI WA TANU NA CCM WILAYANI RORYA MAMA NYAIKA APUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE | SOMA WASIFU WAKE HAPA


Mwasisi waTANU na hatimaye CCM Mama ELIZABETH NYAIKA ameacha simanzi kubwa KWA wananchi wa utegi na wilaya ya RORYA baada ya kufariki na baadaye kuzikwa Leo tarehe 31/10/2016 nyumbani kwake katika mji wa utegi.


Watu mbali mbali walio hudhuria walielezea jinsi walivyo mfahamu marehemu. Mama Maritina Chambili alimuelezea marehemu Nyaika kwamba alikuwa mwanamke jasiri aliesimamia kile alicho kiamini 
kwamba kina manufaa KWA jamii.

Alisema wakati Nyaika alipo kuwa mwenyekiti wa UWT wilaya yeye mama chambili alikuwa katibu wa UWT wilaya walifanya kazi ya kuwaunganisha wanawake jambo ambalo lilileta umoja na mshikamano KWA wanawake wa iliyo kuwa tarime kabla ya kugawanya RORYA nae mama dina aroka magati alisema wamempoteza mwanamke jasiri ambae hata alipo simama mbele ya jamii walikuwa wanasema kweli mamanyaika ameongea hamuna mwanamke kupinga alizu gumziwa KWA kadri kila MTU alivyo mfahamu 

Akiwaasa watoto wa marehemu MKUU wa wilaya ya RORYA SAIMON KEMORI CHACHA aliwaasa watoto wa marehemu nyaika kuenzi mazuri aliyo yafanya mama yao enzi ya uhai wake na kuwa na umoja katika kipindi hiki cha maombolezo ya mama yoa nakusena mama yawo alikuwa kiongozi alie heshika KWA jamii nae mbunge wa RORYA Lameck AIRO alituma salami za Rambi Rambi KWA kifo cha nyaika na kuwatakia familia moyo wa uvumilivu KWA kutokwa na kiongozi wao mama yao pamoja na wanachi wa RORYA KWA kifo cha mama yetu. bwana alitoa bwana ametwaa . 


Picha na kituo cha HABARI na mawasiliana utegi telecomcentre

Post a Comment

0 Comments