majokofu yaliyokabidhiwa |
Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo akikagua majokofu hayo |
.
kuhusu swala la BODA BODA ameomba kikutana na maocd wa kanda maalumu roria kuzungumzia jambo hilo na kilipatia ufumbuzi ili vijana waliokuwa wahaligu na sasa wamejiajiri kwa kuendesha bodaboda wasije wakarudi tena kwenye Nazi ya uhalifu tena.madiwani wakifuatilia mjadala |
Akizungumzia swali LA diwani wa kata ya nyahongo mh Richard ndege mkurugenzi Charles chacha amesema swala LA daraja LA ngasaro limesha fanyiwa upembuzi yakinifu na injinia na mchoro kupelekwa tamiseni nakama itapatikana pesa ya dharura litakarabatiwa amemwomba diwani wa nyahongo mh richadi asije akachukua dharura aliyo sema nakufanya daraja hilo likaharibika zaidi kuliko lilivyo hivi sasa na wananchi wakashindwa kupita
Kuhusu mapato ya halimashauri kutokukusanywa nawatendaji wavijiji na kata ipasavyo kwa kufanya udanganyifu madiwani wameomba ofisi ya mkurugenzi kuwa makini na jambo hilo ili kuwepo na njia mbadala ili mapato yasipotelee kwa watu wachache na kuomba ulinzi uimarisjwe minadani kwani wafanya biashara wanao kuja huwa na pesa nyingi na usalama nimdogo na maaskari unakuta mda huo wakisaka gongo vijijini na kufukuzana na bodaboda
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena