Akitangaza matokeo hayo Katibu wa Baraza la Mtihani Dk Charles Msonde amesema wanafunzi 277,283 sawa na asilimia 70 ya wanafunzi wote waliofanya mitihani hiyo, wamefaulu.
Katika matokeo hayo, wavulana wamefaulu kwa asilimia 73.2 huku wasichana wakifaulu kwa asilimia 67.06. Mkoa wa Dar es salaam licha ya kutoa shule iliyoongoza kitaifa, imefanya vibaya kwa kutoa shule 6 kati ya shule kumi zilizovuta mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne.
Hii hapa list ya shule kumi bora mwaka huu.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena