Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Bao La Kichuya Dhidi Ya Yanga Laibuka Bao Bora Ligi Kuu Bara



Bao la Shiza Kichuya wa Simba alilofunga dhidi ya Yanga, ndiyo limetwaa tuzo ya bao bora katika msimu wa 2016-17 wa Ligi Kuu Bara.

Kichuya ameibuka mshindi katika mabao bora dhidi ya mengine mawili dhidi ya lile alilofunga Peter MWalyanzi anayecheza kwa mkopo African Lyon na Zahoro Pazi wa Mbeya City aliyefunga

Post a Comment

0 Comments