
Katika kusherekea sikuku ya wafanyakazi mei mosi.
Katika mji wa Kinesi ilifana kwa bonanza murua saana
Kama unavyoziona kwenye picha
Katika mji wa Kinesi ilifana kwa bonanza murua saana
Kama unavyoziona kwenye picha

Imepigwa mechi kati ya polisi kinesi wakiungana na
Walimu toka Buturi sec name pst Odunga.walichuana na
Walimu toka suba na nyamunga.

Bonanza ilo limeaandaliwa na spot Ledy Madam Felista toka
Suba secondary. akishirikiana na mkuu wa kituo chakinesi Afande Haule.
Kivutio zaidi alikuwa ni ocd wa kinesi alivyokuwa anatulamba chenga ujani .
Apomwanzo wananchi walikuwa awapendani na jeshi la polosi lakini kwa sasa mambo mazuri kweli.tumekuwa wamoja,tena wametambua kwamba askari nindugu zetu nanivijana wetu.wananchi walioudhuria bonanza ilo wameishangilia timu yao mwanzo mwisho.
Matokeo Polisi kinesi 2-1 Walimu suba nyamunga
Niteandelea kuwa pamoja nadungu zangu kwenye michezo kila siku
Niteandelea kuwa pamoja nadungu zangu kwenye michezo kila siku
Na Jacob Adongo

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena