Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Tech Maujanja | Install App Hii uweze Kutumia WhatsApp Account Mbili kwenye Simu Moja

Image result for parallel space
Application ya whatsapp ni moja ya app inayotumiwa zaidi kwa sasa, kwa kuzingatia hilo wajanja wa teknolojia wameamua kubuni njia itakayo kuwezesha kutumia whatsapp mbili kwenye simu yako. Hivyo basi unaweza kufuata maelekezo haya ili kuweka whatsapp mbili katika simu.
Hatua ya kwanza
Download App inayoitwa parallel space kwenye play store
Hatua ya pili
Kama simu yako ni line moja basi weka line nyingine ambayo unataka iwe whatsapp yako ya pili
Hatua ya tatu.
Install application uliyo download kwenye Step 1(parallel space ), kisha ifungue.
Hatua ya nne
Utakapofika kwenye kipengele kinachotaka kuweka number ya simu hapo utaweka namba yako ya pili ili uweze kuwa na whatsapp mbili
Hatua ya tano.
Utaendelea na Steps za kawaida utakazo onyeshwa kama ulivyojiunga na whatsapp ya kwanza.
Hitimisho:
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja, nakutakia kila la kheri

Post a Comment

0 Comments