Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Viwango Vipya vya Fifa Hadharani Tanzania Yaporomoka kwa Nafasi Nne Huku New Zealand Wakiweka Rekodi Ya kupanda kwa Nafasi 17




1' Timu ya taifa ya Tanzania imeporomoka kwa nafasi 4 toka 135 mpaka 139 .

2' Timu ya taifa ya New Zealand ndio imepanda kwa nafasi nyingi zaidi ,  nafasi 17 .

3' Timu ya taifa ya Poland imeingia katika kumi bora mara baada ya kufungana point na timu ya taifa ya Hispania .

4' Timu ya taifa ya Uganda imepanda kwa nafasi 1 toka nafasi ya 72 mpaka 71.

5' Kenya wao wamepanda kwa nafasi 4 toka 78 mpaka 74 .

6' Kwa bara la afrika

1. Misri
2. Senegal
3. Cameroon
4. Burkina Faso
5. Nigeria
6. DR Congo
7. Tunisia
8. Ghana
9. Ivory Coast
10. Morocco

#FIFARANKING

Post a Comment

0 Comments