Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Breaking News | Ajali ya Treni Yaua Wawili Dar

Image result for bad news
Basi la abiria lenye namba za usajili T427 BQZ linalofanya safari zake kati ya Buza kuelekea Gerezani Kariakoo limegonga treni katika eneo la Devis Kona jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu wawili. 

Mkuu wa kituo cha polisi Ilala amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema mpaka sasa watu wawili wamepoteza maisha huku wengine 30 wakiwa wamejeruhiwa na kupelekwa kupatiwa matibabu. Inadaiwa watu wanne wapo katika hali mbaya zaidi.

Post a Comment

0 Comments