Header Ads Widget

Responsive Advertisement

PICHA | IGP Simon Sirro Alivopokea Msaada wa Magari kwa Ajili ya Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro leo July 5, 2017 amepokea msaada wa magari manne kutoka Kampuni ya Great Wall Motor ya China ambapo wakati anapokea magari hayo IGP amesema magari hayo yatasaidia kupunguza changamoto za Polisi.
ameo 

Post a Comment

0 Comments