Header Ads Widget

Responsive Advertisement

TANZIA | Waziri Mwakyembe afiwa na Mkewe Linah Mwakyembe

Waziri wa habari, utamaduni na michezo ndugu Harrison Mwakyembe amefiwa na mkewe aliyekuwa anaumwa kwa muda mrefu.

Mke wa Waziri Dk Mwakyembe Bi. Linah Mwakyembe, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Julai 16) katika Hospitali ya Agha Khani alipokuwa akitibiwa.
IMG_20170716_082151.jpg

Post a Comment

0 Comments