Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Fabregas Awa Kivutio Liverpool......Atinga Airport Kininja

Kikosi cha Chelsea kimetua jijini Liverpool kwa ajili ya mchezo wao wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Liverpool utakao pigwa katika dimba la Anfield hii leo siku ya Jumamosi huku kiungo wake wakati Cesc Fabregas akionekana kuvalia maski inayomuonesha kuziba uso na kufananishwa na namna alivyo kuwa mwana dada, Jennifer Lawrence katika filamu ya X-Men akiigiza kama ‘Mystique’.
 Mchezaji wa Chelsea , Cesc Fabregasakionekana kuvaa maski na kujifunika uso
Muonekano wake unafananishwa na mwanadada, Jennifer Lawrence alivyoigiza kama Mystique katika filamu ya X-Men
Chelsea inatua Anfield kutafuta pointi tatu muhimu ili kuwa katika nafasi nzuri ya kuwania ubingwa licha yakuwa bado ligi hiyo ikionekana mbichi na yenye ushindani mkubwa.
Kocha wa Chelsea, Antonio Conte akiwasili Liverpool 
Mchezaji David Luiz akiwasili

Post a Comment

0 Comments