Aisee hiki kimekuwa ni kipindi kizito sana katika sehemu ya maisha yangu baada ya kujikuta nilimuangukia kimapenzi mtoto mmoja ambaye alitokea kunielewa sana kipindi naanza 1st year, kiukweli mipango ilikuwa mingi throughout the relationship maana alikuwa ni wife tirio from the first impression. Naye alikuwa mwaka sawa na mimi ila Program tofauti so tukawa tunaenda sawa mpaka ilipofika 2nd year mwisho wa semister 1 ambapo nilipatwa na tatizo lililo nje ya uwezo wangu nikatakiwa kusitisha mwaka wa masomo hali iliopelekea mi nayeye kuwa mbali kwa muda wa semister iliofuata. Kiukweli nilikuwa namuamini sana ila kwa kuzingatia ile notion ya kuwa distance huwa inaleta shida kwa wapenzi hata muwe mmependana vipi nikaamua kumuwekea bug kwenye simu yake ili nihakiki msimamo wake kwangu. Kwa muda wote wa semister ya pili ambayo nilikuwa sipo hakukuwa na rabsha yeyote ukizingatia nilikuwa nina monitor logs zake bila ye kujua haikuwa shida ila kuna wakati alikuwa anataka kuyumba nikamkanya ndipo hapo akajua kujua kuwa naona logs zake. Haikuwa shida maana she was into me na alikuwa ananitii na kuwapotezea hao watu wanaomendea mzigo, mara nyingine aliniambiaga kabisa juu ya hao watu. Tulikuwa so intimate kidume nikawa hadi naskia raha na wanangu walikuwa wana appreciate behaviour ya shem wao kila walipokutana nae na pia coz nilikuwa natulia nae mageto so walikuwa wakija geto kama nyumbani. Pasafi yani dogo anawajibika balaa. =============================
**Ep2
**Ep.3
Baada ya mwaka kuisha nilipanga kurejea chuo ili ni resume studies ambapo yeye angeingia 3rd year mi nikianza 2nd year upya. Ghafla nilianza kuona mabadiliko katika mawasiliano mwezi mmoja kabla ya kufungua chuo. Akawa hanitafuti mpaka nimpigie. No sleep well wala g.mornings without any real reasons. Ilikuwa ni baada tu ya yeye kurudi chuo one time kwa week moja ya supplementary. Kipindi hicho nilikuwa nipo tight na kazi nilipata tempo moja Mbeya. Nikawa na struggle pia na swala la mawasiliano yetu. Nikaanza fuatilia kiini cha tatizo nikaja ona kuwa dogo alikuwa na njemba inamzuzua. Nikampa warning akawa hasikii. Nikaja kutoa ultimatum kwamba its either me or the guy achague moja. Akaniteua mie. Baadae nikaja kujua kwamba jamaa ni colleague wa PGD pale chuo na alimtokea kipindi cha sup ndio akaanza kumpa goodtime. ============================ '
**Ep.4
**Ep.5
Baada ya kufungua chuo dogo amekuja tayari mazingira nilishaandaa maana nilitangulia kufika. Tumeanza kutulia wote freshi tu, taratibu nikashangaa attitude yake kwangu imebadilika mno kiasi cha kwamba ni kama hatujuani. Yani dogo response yake kwangu ikawa so cold and harsh pia akawa ana complain juu ya vitu vidogo dogo ile sio kawaida. Nikawa najiuliza nini shida kimoyo ila sikusema lolote. The moment nimeanza kumuuliza kuwa mbona simuelewi yani ina maana kila kitu nachofanya sio kizuri ni lawama tu. No intimacy wala affection yani muda wote ugomvi tu akawa anadai eti nalalamika sana. Sijakaa vizuri yule jamaa niliemwambia asi contact nae akawa anawasiliana nae ghafla. Kuuliza kwa nini hakuwa na jibu ila kuniwakia kuwa huyo jamaa ni rafiki tu tatizo naji stress sana. Akaenda mbali akachukua simu yangu ya kitochi akawa anawasiliana nae kisiri baada ya kuona nimemaindi yeye kukiuka agizo langu. ==============================
**Ep.6
Baada ya kuzinguana na dogo juu ya hiyo njemba yake akawa so defensive. Anaona ninambana bana sana mara et ndio maana sikutaka tuishi wote ili tusigombane. It went further akawa mkaidi mno ikumbukwe nilidukua mawasiliano yake hivyo niliona romantic texts zake wakitumiana na hio njemba alionidanganya kuwa ni rafiki yake tu toka mwanzoni pale. Na ndio kisa cha kumwambia urafiki wa hivyo hapana, cut off contacts na huyo jamaa. As time ilivyoenda nikazidi kugundua mengi juu ya ile sababu yake ya kugoma kukaa under one roof na mimi. Kumbe yule mpenzi wangu ambae nilimuacha mpweke kwa masikitiko makubwa alishabadilishwa na wale marafiki na kuwa kama mbwa sasa. Alishafundishwa facebook, instagram. Yani kilichofuata ilikuwa ni mlolongo wa kauli za kejeli na dharau mpaka kufikia steji nikawa najiona kama sio binadamu. Yani binti alizidi kuwapanga huko facebook ndio ikawa eneo la kugawa namba kwa watu aliofahamiana nao zamani wengine ndio wapya. Kila siku ni mtu mpya na mbaya zaidi dogo akawa hachomoi. Mpaka kufikia stage nikaona isiwe shida, nilianza kumtia makofi ili walau nyumba iweze kukalika maana hata shule ilikuwa haipandi. Full stress na mtoto nilimpenda kumoyo, i did alot for her since tumeanza freshly 1st Year ila amekuja badilika this late. Yupo 3rd year now i've almost wasted 3 good years. Nimeamua kushea nanyi hii story ili wenye watoto chuo mtie maji mwenzenu nshanyolewa hivyo. Hitimisho, niliona isiwe tabu nikaamua kujipunguza kimya kimya ingawa roho iliniuma mno. This was my groundshaking heart-break ever. Jamani Wakiumeni wenzangu nimejifunza hakuna haja ya kumuamini mwanamke hata awe mzuri kama malaika. You will save yourself a severe headache mbeleni. If you ought to love then dont put up with any expectations.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena