
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akiongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama kwenye mkoa wa Dar es salaam ambayo yeye ndio Mwenyekiti wake, ameitembelea Clouds Media Group leo November 22 2017.
Makonda amefika na kutoa pole kutokana na moto uliounguza sehemu ya jengo la CMG upande wa CloudsTV jana November 21 2017

Kamati ya Ulinzi ikiongozwa na Paul Makonda ikionyeshwa sehemu iliyoungua, kuanzia kushoto ni Afisa Uhusiano wa CMG Simon Simalenga, anaefatia ni Founder na C.E.O wa CMG Joseph Kusaga



Programs Manager wa CloudsTV Kerry Kerwin akitoa maelezo kwa Kamati ya Ulinzi

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena