Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Picha | Hawa Hapa Washindi wa #TukutaneSheli na Diamond Karanga



Zikiwa zimebakia siku chache kuukaribisha mwaka 2018, Leo December 29, 2017 Staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz ametoa zawadi za awali kwa walaji wa Diamond Karanga kupitia shindano lake la ‘Tukutane Sheli’.
Zawadi hizo alizozitoa ni manukato ya Chibu, pikipiki 2 na box za karanga. Ameeleza kuwa moja ya mipango yake kwa mwaka 2018 ni kuongoza ubunifu ili kuongeza idadi ya ajira ambazo atazitengeneza kwa vijana wa Tanzania.
  
BAADA YA WATOTO WA ZARI KUTOONEKANA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA MDOGO WAO (NILLAN)

Post a Comment

0 Comments