Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Mfahamu Mwanaume mwenye Uume Mrefu zaidi duniani.

Duniani kuna mambo jamani, mwanaume mmoja ambae ndo anashikilia rekodi ya dunia kwa kua na uume mkubwa na ndefu duniani Falcon, Jonan Falcon alisimamishwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa San Fransisco baada ya kuonekana ameficha kitu kikubwa ndani ya chupi yake.
Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 41 sasa katika mahojiano yake na The Huffington alisema kwamba huwa anapata shida sana masecurity anapokua kwenye airport anapotaka kusafiri kwani humsumbua sana.

Anasema “ilikua imelala tu wakati wa kukaguliwa na huwa inaurefu wan chi 9 ila ikisimama inakua na urefu wa inchi 13.5, Security mmoja aliniuliza kama sijaweka kitu mfukoni nikamwambia hapana na ndipo waliponilazimisha nitoe nilichokificha ndani ya chupi”
Falcon anasema alijitambua anakitu special mungu alomjalia pale alipofikisha miaka 18 baada ya ndude yake kufikia urefu wa inchi 12
Baada ya kstopishwa kwa muda mrefu anasema” Nilijaribu kuwaelewesha na ndipo walipogoma na kunipeleka chumba maalum ambapo niliwavulia na kuwaonesha wote walishika midomo na kuniomba samahani kwa usumbufu
Kiukweli Napata shida wakat mwingine sababu yanakuja makampuni mbalimbali yakiniomba nikacheze porn but the thing is I’m nat intesting, na pia wacheza porn wengi huwa wanadanganya saizi halisi ya maungo yao so endapo ntajiingiza watu hawatanichukulia siriazi
Pia Napata usumbufu kwa wanawake mbalimbali wanaonitaka kimapenzi ila nina mke nampenda na tunaheshimiana. Ebu pata kumcheki jamaa mwenyewe nan dude yake ikiwa imell ndan ya pant

Post a Comment

0 Comments