Header Ads Widget

Responsive Advertisement

PLAY GIRL=3

Ilipoishia...
'..NIPO NJIANI NAKUJA CHUONI
KWENU KUKUCHUKUWA
TWENDE KWANGU..."
Nikaangalia mara mbili mbili kujua
imetokea wapi, nikaja kugundua
kuwa jina limeandikwa Jerry..
Endelea...
"..Aisha, Aisha Jerry yuko wapi..?"
Nilishtuka usingizini na kitu cha kwanza
nikumuuliza rafiki yangu Aisha,
"..nawewe Tina kwa ndoto zako za mchana
mchana tumeshakuchoka sasa, huyo Jerry
ndio nani..?"
Maskini Tina mimi kumbe yote ile ilikuwa ni
ndoto eti mpaka nimekutana na mdogo wake
Jerry anaitwa Nyemo na mpaka
nikamng'ang'ani a kwenda ku sex naye duh..
Nilijichekea kimoyo moyo huku nikivuta
kumbukumbu vizuri imekuwaje kuwaje
ndoto hii, ndipo wazo likanijia kuwa mara ya
mwisho Jerry alinipigia simu kuwa amepata
dharula mara moja ataenda Temeke, hivyo
nilikasirika nakurudi zangu mpaka bwenini
nakubadili nguo zangu kisha nikajilaza ndipo
usingizi uliponipitia nakuanza kuoto ndoto
hizi..
"..natamani ingekuwa kweli..? Mbona huyo
Nyemo angenitambua.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikichukuwa
simu yangu nakutaka kumpigia Jerry,
nilihangaika kuitafuta namba yake bila
mafanikio lakini nikakumbuka kuwa niliifuta
pindi kile aliponiambia amepata dharula mara
moja.
"...sasa namba yake nitaipata wapi..?"
Nilikuwa kama mtu aliyechanganyik iwa
fulani huku muda wote Aisha akinitolea
macho,
"..yeees..!! Furaha ilinirudia pale nilipokiona
kikadi chake cha ofisini alichonipa kilikuwa
kimeandikwa hivi,
"..Jerry .M. Ng'onye..
Asst... Supplies officer..
Fax ; +255 265451733
Mob ; +255 713 214656 "
Nikaikopi ile namba ya simu haraka haraka
kisha nikai sevu upya nakumpigia..
"..mambo Jerry.."
"..enhe niambie Tina.."
"..jamani niambie basi unatoka huko saa
ngapi mwenzakn nimeshachoka hivyo
kukusubiri.."
"..unaskia Tina, wala usijali yaani swala la
kuonana na wewe lipo pale pale.."
"..nikuulize kitu Jerry..?"
"..uliza tu wala usijali.."
"..umeoa..?"
"..dah nadhani mwakani ndio nampango huo
lakini kiukweli nina mchumba tu.."
Moyo ukanilipuka, huku nikijihisi vinyweleo
vyangu mwilini vimesimama ama kupulizwa
na upepo wa ghafla..
"..unaishi naye huyo mwanamke.."
Nijikaza nakumuuliza kwa makusudi..
"..hapana, yeye anaishi nakufanyakazi huko
huko Tanga ila mie naishi peke yangu hapa
Dar.."
"..Jerry huna mdogo wako..?"
Nilimuuliza kwa makusudi,
"..mh hapana, ila nina dada tu.. Kwanini
umeamua kuniuliza hivyo..?"
"..amh, nilitaka tu kujua jamani, kwani ni
vibaya Jerry..?"
"..ok, nina muda mfupi nitatoka huku Temeke,
lakini itanibidi niunganishe moja kwa moja
mpaka home nikabadili nanguo kabisa then
tutatoka usiku kwa ajili ya 'dinner'.."
Furaha iliniongezeka mara mbili
nailivyokuwa,
"..jamani Jerry, mbona mie niko tayari hata
sasa si unipitie tu nikapajue na kw..."
Kabla sijamaliza kuongea simu ikakata,
nikajua labda huenda Jerry amekasirika
nilivyomwambia, lakini haikuwa hivyo kwani
nilipouliza salio langu lilikuwa ni sh. 0.
Nikiwa bado najishangaa na kwa muda huu
rafiki yangu Aisha alikuwa ametoka hivyo
chumba chote nilibaki peke yangu mara simu
ikapigwa..
"...nitajitahid i kupambana na foleni, naanza
safari ya kuja hapo chuoni kwenu 'be
prepared..'"
"..mie mbona niko tayari
ni wewe tu Jerry.."
****
Pedo nyeusi yenye vitundu vidogo vidogo,
chini nikiwa na viatu vya chini huku kichwani
nikiwa na wigi lakushonesha, blauzi yenye
mistari ya pinki na nyeusi mikononi nikiwa
na bangiri kubwa nyeupe na nyeusi ndivyo
nilivyovalia huku nikiishikilia pochi yangu
ndogo nyeusi.
Niliichukuwa simu yangu nakumpigia tena
Jerry..
"..enhe niambie jamani umefika wapi..?"
"..ndio nakaribia maeneo ya Mnazi mmoja,
nikukute kwa nje basi ili iwe rahisi kuendelea
na safari.."
"..pouwa.."
Giza lilikuwa limeshazama ndicho kilichonipa
ujasiri zaidi huku nikitoka nje kwa makogo
yote..
Haikuchukuwa muda nikawa nimeshaonana
na Jerry, alionesha kuchoka sana kwa kazi
ukijumlisha na mizunguko,
"..mh, hapa atake asitake leo lazima alale na
Tina mie.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimlegezea
macho Jerry huku akiendesha gari kuelekea
kwake,
"..enh, niambie Jerry mbona kimya ghafla.."
"..unafikiri nina usemi basi, enh embu
niambie we kabila gani..?"
"..mie ni mdigo mtu wa Tanga.. Wewe je..?"
"..mie mpemba, kwani unanionaje..?"
"..ndio maana, nywele, sura na weupe ulionao
vinajitosheleza kujua.."
Stori zilinoga mpaka nikaona kama safari
fupi, ilituchukuwa kama dakika 40 kufika
anapoishi Jerry,
Jerry alikuwa anaishi jumba kubwa
mwenyewe na mlinzi, tulipoingia ndani tu
Jerry alipitiliza mpaka chumbani kwake huku
Tina mie akiniacha sebuleni,
"..hajanijua tu.."
Nilijisemea peke yangu huku nikiyarekebisha
maziwa yangu vizuri kisha nikainuka pale
kwenye kochi nakuongoza mpaka chumbani
kwa Jerry nakuanza kubisha hodi mpaka
akafungua,
"..vipi unasemaje tena Tina..?"
"..am, mh, mh plizi Jerry unaniruhusu
nikakuogeshe... ?
"...anhaaa Tina embu acha utani wako huo..."
"...Jerry huniamini, au ndo unaona aibu..?"
Jerry alikuwa hajiamini amini kama Tina mie
naweza nikamuuliza maswali yale na tena
nikiwa 'siriaz' kabisa..
"..nikwambie kitu Tina.."
"..yap, niambie Jerry..!"
"..nakuomba, pliiz rudi ukanisubirie sebuleni,
nioge fasta fasta tuondoke..."
Nilimwitikia kwa shingo upande huku
nikijirudisha mpaka sebuleni.
Nilikaa kama dakika 2 nzima huku akili
ikinihama kabisaaa, nikaona kama Jerry
anachelewa kutoka, nikarudi tena mpaka
mlango wa chumbani kwake kumgongea.
Nilipiga hodi bila majibu yeyote mpaka
nikaamua kuufungua mlango nakuingia
kwani bafu na choo kilikuwepo ndani ya
chumba chake 'self container'..
Niligonga ule mlango wake wa bafuni bila
majibu yeyote. Akili ikanituma nijilaze pale
pale kitandani kwake akitoka atanikuta na
lazima kitaeleweka tu.
Haikuchukuwa muda Jerry akatoka bafuni..
"..hee, Tina unafanyaje tena hapa..? Inamaana
nilivyokuambia uende sebuleni hukwenda..?"
"..aku.."
"..Tina mie nlishakwambia kuwa
ninajiheshimu na ninamchumba kwanini
unanifanyia hivyo lakini..?"
Jerry alilalamika mpaka nikaingiwa na moyo
wa kutoka mule chumbani..
"..Jerry wala usiwe na hofu na mie jamani,
kwanza mie mwenyewe nina mchumba na
hapa nilipo na 'bleed'.."
"..sawa nimeshakuelewa Tina nenda basi
sebuleni.."
Niliondoka nakumuachia uhuru Jerry ili avae
nguo..
Ndani ya dakika kama 7 tayari Jerry alikuwa
ameshavaa nguo tena amependeza, nywele
zake zilikuwa zinang'aa sana na weupe
alionao ndio ulionidatisha sana Tina mie..
"..haya nipo tayari sasa Tina twende.."
"..kabla hatujaondoka Jerry pliz nisaidie kitu
kimoja.."
"..kitu gani tena..?"
"..kiss! Jerry kiss yako tu ndo ninahitaji.."
"..Haa haa haa hicho ndo unachohitaji..? "
Jerry alikuwa hajanielewa mchezo gani
ninaotaka kumchezea, alinipiga busu la
shavuni mpaka nikajihisi niko dunia
nyingine..
"..one more Jerry..(Jerry tena..)"
"..umeshaona raha enhee.."
Jerry alinibusu shavuni, nikampa na mdomoni
akanibusu..
"..Jerry naweza na mie nikakubusu..?"
nilimuuliza kiuchokozi
"...yeah"
Nilitumia mwanya huo huo kujifanya kama
nammbusu mdomoni, hapohapo nikatoa
ulimi nakumdumbukizia kwenye mdomo
wake naye nikamshuhudia akinipa denda
lililonifanya mwili wangu wote usisimke
ghafla huku nikiyafumba macho yangu
nakutoa pumzi ya kimahaba..
Jerry alinogewa na kujisahau, akajikuta
amevamia kifua changu nakukusanya
maziwa yangu huku akizipapasa chuchu
zangu za mbele..
"..no.. Noo Jerry nipo kwenye 'bleed'
usinishike maziwa yananiuma.."
Nilimwambia makusudi ili nijue kama kweli
kalainika au la!
"..Tina unasema..?"
Jerry alikuwa anauliza huku akiongea sauti ya
kimahaba..
"..na leo ataisoma namba, nitahakikisha
anakuwa mtumwa wa mapenzi ghafla,
nalitesa kwanza wee baadaye kabisa ndio
nitaliachia linifanye.."
Niliongea kimoyo moyo huku nikiendelea
kumtolea macho Jerry ambapo bado alikuwa
ameng'ang'ania matiti yangu..
"..Jerry, nakuruhusu nichezee kuanzia
kichwani mwisho tumboni tu.."
Kabla sijamaliza kusema nilimshangaa Jerry
akinitupia kwenye kochi nakuanza
kuninyonya kuanzia masikioni mpaka
shingoni huku ulimi wake akiutelezesha
mpaka kwenye kitovu changu..
"..noo noo Jerry huko sitaki tena acha,
nimekwambia nableed' kwahiyo nishike kote
lakini usinishike matiti yangu wala sehemu
zangu za si**.."
Ama kweli na wanaume kumbe dhaifu kama
sie wasichana,
Nilimshangaa Jerry akitamani japo ku sex,
"..Jerry, twende basi ulipotaka kunipeleka
tukapate hiyo 'dinner'"
Jerry alinyong'onyea nakukaa kama dakika
moja kisha akachukuwa funguo ya gari na
simu yake kwa shingo upande uku akionesha
kutoridhishwa kabisa na mie,
"..ok, twenzetu"
Nilijirekebisha nguo zangu vizuri kisha
nikaongozana na Jerry mpaka kwenye gari
yake nakuingia kisha akaliwasha gari lake
nakuondoka.
"...Jerry hujaniambia ni wapi huko
tunapoelekea kupata chakula.."
"..tunaenda pale makumbusho na leo
wikiendi huwa kuna 'live band'..
"..ok.."
Saa ya kwenye gari la Jerry ilinionesha
imeshatimu saa 08:14 usiku, tayari tulikuwa
maeneo ya morroco nikaanza kumchokoza
tena Jerry.
"..Jerry, nikwambie kitu.."
"..yeah, niambie tu.."
"..ujue muda wote kule kwako nilikuwa
nakudanganya, mwenzako hata si bleed.."
"..unasemaje.."
Nikavua kile kipedo changu nakutoa 'pedi'
feki niliyokuwa nimeivaa ambapo ilikuwa
haina hata chembe ya damu, kisha
nikamuonesha Jerry, nikaitupa nje huku
nijirudishia nguo yangu vizuri nakumchekea
jerry ambaye bado alikuwa kapigwa na
butwaa..
=>nawaombeni kila anayesoma awe ana
share sana,ili nipost mara nyingi.
Itaendelea kesho saa tatu asubuh, usikoseee, tabiri nini kitatokea sehemu ifuatayo?, toa maoni
Photo: Story: Play gal – 03

Post a Comment

0 Comments