Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Mambo 13 ya msingi usiyoyafahamu kuhusu nyangumi (WHALE)

Photo: Mambo 13 ya msingi usiyoyafahamu kuhusu nyangumi
(WHALE)

1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa
sawa na ukubwa wa gari ndogo

2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na
umri wa miezi 7 tu?

3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700 ambayo ni
sawa sawa na kifaru mkubwa size ya mwisho?

4. Uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa wa tani
200 hadi 300? Mmoja JIKE alikamatwa na kupimwa alikuwa
na kilo 171000kg

5. Ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito
zaidi ya Tembo mkubwa?

6.Mdomo wa nyangumi unaweza kuhifazi tani 90 za chakula
na maji akiufumbua mpaka mwisho?

7. Chakula kikuu cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo
nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000000 kwa
siku, 8.ili nyangumi ashibe vizuri anakula kilo 3600kg?

9. Nyangumi anaweza kuishi mpaka kufikia miaka 80?

10.Baadhi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi
kwamba Binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa
hiyo bila kugusa pembeni

11. Ukubwa wa nyangumi unaweza kulinganishwa na ndege
aina ya Boeing 737

12. Urefu wa nyangumi unakadiriwa kuwa wa mita30
mpaka 50, ukimuweka ardhini urefu wake ni sawa sawa na
urefu utakaojitokeza baada ya kuyapanga magari 9 ya size
ya familia, Aliyekamatwa mara ya mwisho alikuwa na urefu
wa mita33.

13. Nyangumi ndio mnyama mwenye sauti kubwa kuliko
kitu chochote duniani. Hutoa sauti kali sana ya kipimo cha
decibles188 ambayo inaweza kusikika mpaka umbali wa
kilomita 848.
Ni sauti kubwa na kali kuliko sauti itoayo ndege kubwa aina
ya jet inapopaa ambayo kipimo cha sauti ya jet ni decibles
120

NB: Akijamba ndani ya maji huweza kusababisha kimbunga
na mvua za rasharasha katika mpwani mbalimbali 

Post a Comment

0 Comments