Duh basi bana ndo hivo hizi picha ni za rihana na ndo zitatumika katika
gazeti la Esquire magazine UK ambalo linatarajiwa kutoka mwezi wa 12
mwaka huu. picha nyingi katika hizi Rihana anaonekana akiwa hajavaa nguo
ya Juu. Picha hizi zimezua gumzo sana instagram kwa watu kuziongeea
sana. Ikumbukwe kua akaunti ya rihana ya Instagram imefunguliwa juzi
juzi tu ikiwa ni baada ya Instagram kuifunga chanzo kikiwa ni kupost
picha zisizo na maadili…..
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena