Ni movie inaendelea? Diamond na Zari
Picha za wawili hao wakiwa nje ya hoteli ya Double Tree jijini Dar zinawaonesha wakifurahia muda wa faragha pamoja kama wapenzi vile.
Maswali yanayozunguka kwenye vichwa vya wengi ni je wawili hao ni item tayari au ni movie inaendelea kama apendavyo kusema hitmaker huyo wa Number 1?
Tayari mashabiki wameanza kuhusi kuwa kuna uhusiano mpya uliozaliwa kati ya mastaa hao ambapo katika picha moja Zari aliandika: Don’t live your life enslaved by guilt. You must do what is right for you, even if other ppl have a problem with it. #Diamonds #MummyFabulousSelf.” Wengi walihitimisha kuwa amemaanisha bae wake huyo mpya na hivyo kumlazimu kufafanua: For fucks sake I meant #Diamonds as in my stones ��������… Y’all african people be tripping #IdleMinds.”
“Awwwwwwwwwwwww kila la kheri @diamondplatnumz follow what your heart say n you have to live your life wish you all the best with your new bae if it is true @zarithebosslady,” ameandika mtu mmoja.
Hizi ni baadhi ya picha zao wakiwa JNIA.

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena