Kigogo
mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, anayefanya kazi katika
kampuni ya simu za mkononi na mwanamke aliyetajwa kwa jina la Mwamvua
anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu wamerekodi video wakifanya uchafu na
‘clip’ hiyo imevuja. Habari za kuaminika kutoka kwa chanzo chetu makini zinasema kwamba mke wa kigogo huyo aitwaye Inaelezwa
kwamba, Zainab alianza kupatwa na wasiwasi na tabia ya mumewe muda
mrefu, hivyo akaanza kumfuatilia kwa karibu, ambapo alifanikiwa kunasa
meseji za mapenzi kati ya mumewe na Mwamvua. Zainab alivumilia bila kumwambia mumewe, lakini aliendelea kumfuatilia ili apate uhakika. “Aliamua
kuchukua namba za simu za yule mwanamke kisha akampigia na kumuonya
amuachie mumewe, lakini akamjibu mbovu,” alitonya mnyetishaji wetu Akaongeza:
“Lakini siku moja aliona picha ya huyo mwanamke akiwa kitandani kwenye
simu ya mumewe. Alipoendelea kupekua zaidi, akaona video ikiwaonesha
wapo kwenye mahaba. Akaihamishia kwenye simu yake haraka kwa njia ya
Bluetooth.” “Zainab
alishachoshwa na mambo ya mume wake. Analalamika kuwa tangu
amepandishwa cheo, hatulii nyumbani. Amekuwa malaya kupindukia. Uamuzi
wake ulikuwa ni kuondoka kwa mumewe, lakini akaona ni bora kwanza
amkomeshe,” alisema mnyetishaji wetu. Alisema,
kwa kuwatumia ‘watoto wa mjini’, Zainab alifanikiwa kuisambaza video
hiyo kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kumuaibisha mume wake na
mwanamke aliyekuwa naye faragha ambaye naye anadaiwa kuwa mke wa mtu. “Aliona bora wakose wote, ndiyo maana akafanya hivyo,” alisema.
Zainab ndiye anayesambaza video hiyo kwenye mitandao mbambali na mitaani.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena